-
Tanzania yafikisha watu milioni 61.74 Dar, Mwanza zaongoza kwa idadi ya watu nchini
by rumulifm0 comment 128 viewsDodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti, akisema kuwa idadi ya watanzania ni milioni 61.74. Amesema hayo leo Jumatatu Oktoba 31, 2022 …
-
Waziri Mkuu Majaliwa Kuwa Mgeni Rasmi Mahafali ya 57 Ya Chuo Cha CBE
by rumulifm0 comment 121 viewsMkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara, (CBE), Profesa Emmanuel Mjema akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano la kitaaluma litakalofanyika Dodoma hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Mkuu wa chuo …
-
Kutokana na ukame, Tanesco imesema mabwawa ya kuzalisha umeme ya Hale, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Pangani yenye uwezo wa kuzalisha megawati 266 za umeme sasa yanazalisha megawati 34 tu. …
-
Watu 150 Wafariki Kwenye Mkanyagano Wakisherekea Sikukuu ya Halloween
by rumulifm0 comment 129 viewsZaidi ya watu 150 wanaripotiwa kufa huko Korea Kusini katika mkanyagano uliotokea wakati wa Sherehe za Halloween mjini Seoul usiku wa kuamkia leo Jumapili Oktoba 30, 2022. Vifo hivyo vimetokea …
-
Waziri Biteko asisitiza Utekelezaji makubaliano kati ya Tanzania na Burundi kuhusu sekta ya Madini
by rumulifm0 comment 136 viewsWaziri wa Madini nchini Dkt. Doto Biteko amesisitiza kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano baina ya nchi ya Tanzania na Burundi katika kubadilishana ujuzi wa mnyororo mzima wa Sekta ya …